International Children's Digital Library
 

Title: Ndoto ya Amerika
Read Ndoto ya Amerika
Read with ICDL Reader

Language: Kiswahili
Type: Fiction
Genre: Action Adventure:::Funny / Humorous
Created by:
  • Ken Walibora (Author)
Abstract: Mvulana mmoja aitwaye Issa kutoka mashambani mwa Kenya atusimulia hadithi ya maisha yake. “Ngoja tu utakapoota ndoto ya Amerika ndipo utaanza kutamani kwenda huko” rafiki yake asema. Issa anaota ndoto ya Amerika, harafu anaudhika akijaribu kufika huko. Mwishoni anapata fundisho moja muhimu sana.

Publisher: Machapisho ya Sasa Sema
Published: 2001
Published in: Kenya
ISBN: 9966-951-10-5
Contributed by: Machapisho ya Sasa Sema

Note: While we have determined that we have rights to redistribute this book on this website, we are not authorizing you or anyone else to further redistribute this book. These books are for your personal use only.